Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.







TAREHE 30-3-2014-10:50



media Les joueurs du Tout Puissant Mazembe.

 mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta amefanikiwa kuinusuru TP mazembe kwa kuifungia bao  pekee dakika za mwishoni kipindi cha pili na kuirudisha timu hiyo ya DRC kwenye hatua ya makundi tangu mwaka 2012 waliposhiriki mara ya mwisho AMBAPO mshambuliaji huyo amekuwa tegemeo baada ya mputu kuondoka.

Mazembe wamefanikiwa kusonga mbele kwa faida ya bao la ugenini baada ya   2-1 Sewe Sport ya Ivory Coast kuibuka na ushindi wa bao 2-1 mjini Abidjan ambapo bao la kufutia machozi la TP lilipachikwa pia na mwana Samatta,na sasa wanasubiri droo itakayofanyika hivi karibuni ili kujua watadondokea wapi.

Chapisha Maoni