Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.




  Timu ya taifa ya Tanzania Taifa stars ipo inchini namibia ikijiandaa kuvaaana na timu ya Taifa ya nchi hiyo katika mtanange wa kirafiki,na viongozi wa timu pamoja na wadhamini wamehaidi ushindi.

Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe amesema wao kama wadhamini wanatarajia ushindi  mkubwa ili kuipandisha Tanzania katika viwango vya FIFA. Huu ni mwaka wa pili tangu Kilimanjaro Premium Lager ianze kuidhamini Taifa Stars na imewekeza zaidi ya Dola Milioni mbili kila mwaka.

 

Next
Chapisho Jipya
Previous
This is the last post.

Chapisha Maoni