Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


 mfupa ambao Barca walishindwa kuutafuna katika hatua ya robo fainali klabu bingwa ulaya Atletico Madrid sasa wamekabidhiwa chelsea katika nusu Fainali mchezo mchezo ambao utafanyika tarehe 22 na 30 mwenzi wa nne ambapo tayari homa ya mtanange huo imeshaanza kupanda dakika chache mara baada ya kuchezeshwa droo hiyo hii leo.
 Chelsea
Atletico waliwatoa barcelona kwa jumla ya bao 2-1 baada ya kutoka sare katika uwanja wa barca kwa bao 1-1 kabla ya vijana wa simion kupata ushindi wa bao moja kwa bila katika uwanja wa nyumbani huku Chelsea wamefika katika hatua hii mara baada ya kuwatoa PSG kwa faida ya bao la ugenini kufuatia ushindi wa bao bao 2-0 nyumbani ambao Ufarance walifungwa bao 3-1.

kipute kingine kitakuwa kati ya mabingwa watetezi Bayern Munich watakaovaana na Real Madrid mchezo ambao pia unatabiliwa kuwa na upinzani mkubwa kutakana na ubora wa timu zote mbili.
  Chelsea


Making the draw: Former Portugal star Luis Figo holds up a draw card with the name of Real Madrid on


Showing their support: The Bayern Munich fans create mosaic


Going through: Bayern Munich will face Real Madrid


Chapisha Maoni