Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.



TAREHE 11-04-2014.

TIMU ya Azam inaitaja pointi tatu toka katika mchi mbili ambazozimesalia katika michuano ya ligi kuu bara ili kufikisha pointi 59 pointi ambazo haziwezi kufikiwa na timu yeyote kwa kuwa tofauti ya pointi kati yao na yanga ni pointi 4.

mechi ambazo Azama amebakiza ni dhidi ya Jkt Ruvu pamoja na Wagumu mbeya City huku wapizani wao yanga wakiwa na mitanange miwili pia dhidi ya Simba pamoja na JKT Oijoro michezo ambayo inatarajia kufanyika hivi karibuni katika viwanja tofauti hapa nchini.

michezo ambayo itafanyika siku ya jumapili inatarajiwa kuwa michezo migumu kwa kuwa meche hizo anaweza akatangazwa bingwa wa ligi kuu bara msimu huu endapo mbeya city atafungwa na Azam katika uwanja wake wa nyumbani  ambapo mchezo huo unatazamwa kwa jicho la tatu na wanazi wa soka huku yanga wakiwaombea mabaya katika mchezo huo,kwa  upande mwinine yanga watakumbana na jkt oljoro mjini Arusha.

#   Team MP W D L F A D P Last 5 matches H2H
1
24 16 8 0 48 14 +34 56 W W W W D
2
24 15 7 2 58 17 +41 52 W W L W W
3
24 12 10 2 31 18 +13 46 D W W W D
4
24 9 10 5 40 25 +15 37 D L L D W
5 24 8 10 6 22 20 +2 34 L D D W W
6 24 8 8 8 25 32 -7 32 L D W W L
7 24 7 9 8 29 29 +0 30 L W D D L
8 24 6 11 7 16 18 -2 29 L L W L D
9 24 9 1 14 22 39 -17 28 L W L W L
10 Previous rank: 11 24 6 7 11 18 34 -16 25 W W L D D
11 Previous rank: 10 24 4 10 10 21 30 -9 22 L L L L D
12
24 5 7 12 19 38 -19 22 D W L D W
13
24 3 9 12 17 34 -17 18 W L L L D
14
24 3 7 14 15 33 -18 16 W L L L L


Chapisha Maoni