wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ambao wanatarajia kuingia kambini leo makipa, Aishi Manula na
Mwadini Ally wote Azam FC pamoja na Deogratias Munishi wa Yanga, wakati
mabeki aliowachukua ni Abdi Banda (Coastal Union), Aidan Michael (Ruvu
Shooting), Aggrey Morris (Azam), Erasto Nyoni (Azam), Hassan Mwasapili (Mbeya
City), Kelvin Yondani (Yanga SC)na Said Moradi (Azam).
|
Viungo ni Amri Kiemba (Simba), Frank Domayo (Yanga), Himid Mao (Azam) na Jonas Mkude (Simba).
Washambuliaji ni Athanas Mdamu (Alliance), Haruna Chanongo (Simba), Juma Liuzio (Mtibwa Sugar), Khamis Mcha (Azam), Mbwana Samata (TP Mazembe, DRC), Mrisho Ngassa (Yanga), Mwinyi Kazimoto (Markhiya, Qatar), Ramadhan Singano (Simba), Simon Msuva (Yanga) na Thomas Ulimwengu (TP Mazembe, DRC).
Wachezaji walioitwa kutoka katika kikosi cha maboresho ni kipa Benedicto Tinoko Mlekwa (Mara), mabeki wa kati; Emma Namwondo Simwanda (Temeke) na Joram Nason Mgeveje (Iringa). Walinzi wa pembeni ni Omari Ally Kindamba (Temeke), Edward Peter Mayunga (Kaskazini Pemba) na Shiraz Abdallah Sozigwa (Ilala).
Viungo ni Yusuf Suleiman Mlipili (Temeke), Said Juma Ally (Mjini Magharibi), Abubakar Ally Mohamed (Kusini Unguja), Hashim Ramadhan Magona (Shinyanga), Omari Athumani Nyenje (Mtwara) na Chunga Said Zito (Manyara).
wahezaji waliotemwa
kipa Ivo Mapunda wa Simba SC na beki Nadir Haroub ‘Cannavaro’
wa Yanga SC na kikosi hicho kitakuwa chini ya kocha msaidizi wa Taifa Stars, Salum
Mayanga.
Chapisha Maoni