Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


Marca: Spain dominate!

SEVILLA ya Hispania imetwaa ubingwa wa Europa League baada ya kuifunga Benfica ya Ureno kwa penalti 4-2 kufuatia sare ya bila kufungana ndani ya dakika 120.





WACHEZAJI waliofunga penalti ni Bacca, M’Bia, Coke na Gameiro ndiyo walifunga penalti za Sevilla, wakati wa Cardozo na Rodrigo walikosa za Benfica, huku Lima na Luisao wakifunga.

Vikosi vilikuwa, Sevilla: Beto, Coke, Pareja, Fazio, Moreno, Mbia, Carrico, Reyes/Marin dk78/Gameiro dk104, Rakitic, Vitolo/Diogo Figueiras dk110 na Bacca.
Benfica: Oblak, Maxi Pereira, Luisao, Garay, Siqueira/Cardozo dk99, Ruben Amorim, Gomes, Gaitan/Ivan Calvaleiro dk119, Sulejmani/Andre Almeida dk25, Lima na Rodrigo.


Chapisha Maoni