Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.



James Rodriguez amefunga bao bora zaidi katika Kombe la Dunia hadi sasa kwa mwaka huu, akiiwezesha Colombia kuitoa Uruguay katika 16 Bora Uwanja wa Maracana. 
Aliumiliki vizuri mpira wa kichwa katika kifua chake akiwa umbali wa mita 25 kutoka langoni, mvaa jezi mamba 10 huyo wa Colombia kisha akaushusha chini na akiwa amezingirwa na wachezaji wawili wa Uruguay, akafumua bonge la shuti hadi nyavuni.
Golden goal: James Rodriguez scores a stunning volley in the first half to put Colombia ahead

Sweet strike: Rodriguez lines up his volley which gave Fernando Muslera no chance in the Uruguay goal
No stopping that one: Uruguay's goalkeeper Fernando Muslera has no chance in stopping Rodriguez's shot
Cloud nine: Colombia fans celebrate knocking Uruguay out of the World Cup


Chapisha Maoni