Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.



England knocked out of the World Cup
Costa Rica walidhibitisha uwezo wao katika kundi lao, walipowashinda mabingwa wa zamani wa kombe la dunia Italia kwa bao moja kwa nunge katika mechi iliyochezwa katika uwanja wa Arena Pernambuco, Recife.
Ushindi huu wa Costa Rica wamaanisha kuwa Uingereza sasa imeiaga michuano hiyo ya kombe la dunia.
Bao la kichwa lake Bryan Ruiz lilitosha kuifanya The Ticos, kuwa timu ya kwanza kufuzu kwa raundi ya pili kutoka kundi D.
Italia na Uruguay watawania nafasi moja iliyobakia kutoka kundi hilo.




Chapisha Maoni