Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


MCHEZAJI wa ujermani mkongwe Klose amefikisha  bao 15 sawa na Ronaldo wa Brazil katika kombe la dunia baada ya kuisawazishia timu yake katika mchezo mkali uliopigwa usiku huu dhidi ya Ghana nchini brazil.

KIKOSI CHA GERMANY: Neuer 6;  Boateng 6 (Mustafi 45mins 5.4), Mertesacker 6, Hummels  6, Howedes 6;  Lahm 7; Khedira 6.5 (Schweinsteiger 69mins 7),  Kroos 7; Mueller 6), Ozil 7, Goetze 7 (Klose 69mins 7.5).

GOALS: Gotze 51, Klose 71

KIKOSI CHA GHANA: Dauda 7; Afful 6.5, Mensah 6.5, Asamoah 6, Boye 6; Boateng (J Ayew 51mins 6.5 ), Muntari 6, A Ayew 7.5, Atsu 7 (Wakaso 71mins 6); Rabiu 6 (Badu 77mins 6); Gyan 8 

GOALS: Ayew 54, Gyan 63

REFEREE: Sandro Ricci
Asamoah Gyan na wachezaji wezake wa Ghana wakishangilia kwa stahili ya kucheza kiduku baada ya kufunga bao la pili,hadi mwisho matokeo ni 2-2.kwa matokeo hayo ghana sasa  wanamwombea URENO na USA wapoteze mechi zao huku yeye apate ushindi dhidi ya Ureno.
High flyer: Miroslav Klose celebrates scoring Germany's second goal against Ghana on Saturday evening
mkongwe klose akishangilia bao


Chapisha Maoni