mchezaji wa kiwango cha dunia cristiano Ronaldo ameshindwa kuiokoa timu yake hii leo,akishuudia ikichapwa bao 4-0 huku ronaldo akionyesha kiwango cha chini.
mshambuliaji Thomas Muller aliyefunga mabao
matatu peke yake, dakika za 12 penalti baada ya Mario Gotze kuchezewa
rafu kwenye eneo la hatari, 45 na 88, wakati bao lingine lilifungwa na
Mats Hummels dakika ya 32 baada ya kazi nzuri ya Tony Kroos.
Beki
wa Ureno, Pepe alitolewa nje kwa kadi nyekundu dakika ya 37 na refa
Milorad Mazic wa Serbia, baada ya kumpiga kichwa Muller kwa hasira
kufuatia mshambuliaji huyo wa Ujerumani kujiangusha wakati
wakikabiliana.
Kikosi cha Germany:
Neuer 6; Boateng 6, Mertesacker 6, Hummels 7 (Mustafi 73min, 6),
Howedes 6, Lahm 7; Khedira 7.5, Kroos 6; Muller 8 (Podolski 80), Ozil
5.5 (Schurrle 63, 6.5), Gotze 7.
Subs: Zieler, Grosskreutz, Ginter, Schweinsteiger, Klose, Draxler, Durm, Kramer, Weidenfeller.
Goals: Muller 12 (pen), 45, 78, Hummels 32
Portugal: Patricio 5.5; Pereira 5, Alves 5, Pepe 2, Coentrao 4.5 (A Almeida 65, 5.5); Moutinho 5, Veloso 5 (Costa 45, 5), Meireles 5; Nani 6, H Almeida 5 (Eder 23, 5), Ronaldo 5.
Subs: Eduardo, William Carvalho, Vieirinha, Luis Neto, Rafa, Varela, Ruben Amorim, Postiga, Beto.
Booked: Pereira.
Sent off: Pepe.
Man of the match: Thomas Muller.
Referee: Milorad Mazic (Serbia)

Chapisha Maoni