Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


 
Mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara Azam Fc  wameanza Rasmi mazoezi ya kujiandaa na ligi kuu Tz Bara pamoja na Mashindano ya ligi ya mabingwa Afrika.
Mazoezi hayo yamefanyika kwenye uwanja wake uliopo chamazi jijini dar es salaam chini ya kocha msaidi Kalimangonga Ongala, Ibrahim Shikanda, Iddy Cheche pamoja na kocha wa Makipa Iddy Abubakari.
Kocha mkuu Joseph Omog anatarajia kujiunga na timu tarehe 20/6/2014.
Azam Fc Mapinduzi ya kweli katika soka



Chapisha Maoni