Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.




Leo ndio leo asemaye kesho ni mwongo pale nyasi zitakapoumia mishare ya saa tano kamili usiku kwa Saa za Tanzania kuashiria kukatwa utepe wa ufunguzi wa kombe la dunia nchini Brazil kwa wenyeji mabingwa mara tano wa kombe hilo watakapoonyeshana kazi na Croatia katika mchezo ambao unasubiliwa kwa hamu na mashabiki wote dunia,hama hakika kwa sisi machizi wa mpira tutakuwa tukichizika kwa Takribani mwenzi mmoja tukikesha kushuudia Fainali hizi.
Sio michezo ya kuikosa ifuatayo ni Ratiba ya michuano hiyo;-


Poster boy: Neymar
Best defence: Vedran Corluka


 Thursday 12 June 2014

1BrazilvCroatiaArena de Sao Paulo23:00
Friday 13 June 2014
2MexicovCameroonEstadio das Dunas19:00
3SpainvNetherlandsArena Fonte Nova22:00
4ChilevAustraliaArena Pantanal00:59
Saturday 14 June 2014
5ColombiavGreeceEstadio Mineirao19:00
7UruguayvCosta RicaEstadio Castelao22:00
8EnglandvItalyArena Amazonia00:59
Sunday 15 June 2014
6Ivory CoastvJapanArena Pernambuco04:00
9SwitzerlandvEcuadorEstadio Nacional19:00
10FrancevHondurasEstadio Beira-Rio22:00
11ArgentinavBosnia-HerzegovinaEstadio do Maracana


Chapisha Maoni