Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.






Aliyewai kuwa kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania  raia wa Brazil Marcio  Maximo amesaini mkataba  wa miaka miwili na Yanga,na  ataanza kazi rasmi siku ya Jumatatu.




 



 Awali akiwa timu ya TaifaMaximo na Kaseja walikuwa hawaelewani, wakati huo  Kaseja akiwa kipa namba moja wa Simba ambapo Maximo alidiriki kumuita Ally Mustapha ‘Barthez’ aliyekuwa kipa wa pili wa Simba na kumuacha Kaseja aliyedaka mechi zote lakini kwa sasa kocha huyu amesema kuwa hana matatizo kabisa na kaseja hivyo wapenzi wa yanga waiunge timu mkono kwa mafanikio ya timu.




Wakati huo huo kiungo mshambuliaji wa yanga aliyesajiliwa na Yanga, andrey ferreira coutinho raia wa brazil, ametua salama jijini dar es salaam Tayari kwa kuanza mazoezi na timu hiyo siku ya jumatatu mchezaji huyo  inahaminika  uwezo wake ni mzuri sana hasa katika nafsi ya kiungo.






Chapisha Maoni