Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


Tabia ya mchezaji wa liverpool kung'ata wachezaji wa timu pinzani imeendelea kushika kasi mara baada ya mchezaji huyo kumng'ata mchezaji wa timu ya italy  Giorgio Chiellini  , suarez alimkita meno katika parika za kujipanga kwa ajili ya mpira wa adhabu ndogo, awali suarez alijifanya kuanguka  chini kuashiria kupigwa kipepsi na Giorgio jambo ambalo camera za uwanjani zinaonyesha suarez ni kweli alimng'ata mchezaji huyo, hii ni mara ya tatu kwa mchezaji huyo kufanya kitendo hicho , kwani amewahi kumng'ata mchezaji wa uholanzi ukiachilia mbali alivyomng'ata beki wa timu ya chlsea, iIvanivic.

Ouch: Chiellini attempts to show the bite marks to referee Marco Rodriguez
Kamati ya Nidhamu ya FIFA, baada ya kikao chake cha zakdi ya saa 10 usiku wa jana na leo asubuhi, imemfungia Suarez mechi tisa za mashindano za ya kimataifa na miezi minne jumla kutojihusisha kabisa na soka.
 
Hiyo inafuatia mshambuliaji huyo kumng'ata began beki wa Itakia Giorgio Chiellini, Uruguay ikiibuka na ushindi ulioivusha hatua ya 16 Bora- hiyo ikiwa ni mara ya tatu kwa mchezaji huyo kufanya hivyo.
 
Suarez atakosa mechi 13 za Liverpool ingawa haiwesi kuathiri mazungumzo yoyote ya kuuzwa na ametozwa faini ya Pauni 65,000.
Amekiona cha moto: Nyota wa Uruguay, Luis Suarez ameadhibiwa na FIFA kwa kumng'ata beki wa Italia


MECHI ZA LIVERPOOL ATAKAZOKOSA SUAREZ

Agosti 16: Liverpool v Southampton
Agosti 23: Manchester City v Liverpool
Agosti 30: Tottenham Hotspur v Liverpool
Septemba 13: Liverpool v Aston Villa
Septemba 16: Champions League matchday 1
Septemba 20: West Ham United v Liverpool
Septemba 27: Liverpool v Everton
Septemba 30: Champions League matchday 2
Oktoba 4: Liverpool v West Bromwich Albion
Oktoba 18: Queens Park Rangers v Liverpool
Oktoba 21: Champions League matchday 3
Oktoba 25: Liverpool v Hull City

Not fooling anyone: Suarez holds his teeth after appearing to sink them into the shoulder of the Italian


Chapisha Maoni