Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.



Agony: Neymar lies in agony after being kneed in the back just three mintues from the end
Nyota wa timu ya soka ya Brazil Neymar  Amekumbwa na dhahama ya kutoshiriki tena katika michuano ya kombe la dunia baada ya Mfupa wake unaoshikana na uti wa mgongo kuvunjika katika mechi ya ushindi wa mabao mawili dhidi ya Colombia.
Neymar aligongwa upande wake wa nyuma dakika tano tu kabla ya mchuano huo wa robo fainali kukamilika na Alibebwa na kutolewa nje akiwa katika machela lakini ametolewa hospitalini baada ya kufanyiwa matibabu.

pia Brazil itamkosa nahodha wake Thiago Silva katika  nusu fainali dhidi ya Ujerumani baada ya mchezaji huyo kupewa kadi ya pili ya Njano.


Stretchered off: Neymar is carried away by medics leaving all Brazilian fans in a state of panic
Carried away: Neymar was stretchered off the pitch and taken to hospital after Brazil's quarter-final win
The damage: Brazilian television stations obtained an x-ray of Neymar's back and highlighted the broken bone


none
Cynical: With the ball nowhere near Juan Zuniga smashes his knee into the lower part of Neymar's back

Man down: The Barcelona forward falls to the ground after the challenge that rules him out of the semi-final

End of the line: Neymar is carried down the tunnel with his World Cup over


Chapisha Maoni