Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.




Ripoti kutoka nchini Brazil zinasema kuwa kocha wa timu ya taifa ya Brazil,Luiz Felipe Scolari, ameacha kazi kama meneja wa timu hiyo baada ya timu ya taifa ya brazil kuchezea kichapo cha bao 10-1 katika mechi mbili za mwisho za kombe la dunia
.
kocha huyo alilaumiwa pakubwa sana kwa timu ya Brazil kupata kichapo kibaya ilipocheza na Ujerumani ambao wameibuka mabingwa wa kombe la dunia mwaka huu.
Kichapo hicho kilikuja wakati wa mechi ya nusu fainali dhidi ya Ujerumani.
Taarifa rasmi huenda ikatolewa baadaye leo na shirikisho la soka la Brazil.



Chapisha Maoni