Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


 (PATRIK STOLLARZ/AFP/Getty Images)

Brazil vs ujermani wamekutana mara 21

 Ujerumani:

ushindi:4
sare:5
kufungwa:12
 
Brazil:
ushindi                                    12
sare:                                        5
kufungwa:                                4
 
 
 
wakati recodi ziwakiwa zimewaelemea zaidi ujermani kocha wa brazil Scolari amesema kuwa Brazil itajitahidi dhidi ya Ujerumani licha ya kumkosa Neymar ambaye alikuwa ameifungia mabao manne.
Kwa upande wake kocha wa Ujerumani Joachim Low amesema kuwa Wabrazil ni wakakamavu na mara nyingi wanacheza kwa nguvu.
Low amemtaka refarii wa Mexico Marco Antonio Rodriguez kutolegeza kamba dhidi ya wenyeji hao kutokana na nyendo zao .
Timu hizo zitafungua kampeini yao katika mechi ya kwanza ya nusu fainali huko Belo Horizonte.
Matumaini ya wenyeji kutwaa ubingwa wa dunia yameimarika baada ya timu hiyo kufuzu kwa nusu fainali .

Tiketi ya Mechi hiyo dhidi ya Ujerumani tayari zimeuzwa zote uwanja wa Estadio Mineirao  ambapo  zaidi ya mashabiki elfu 62,000 wataujaza uwanja huo.
Mara ya mwisho timu hizo zilipokutana Brazil iliibuka washindi wa 2-0 mwaka wa 2002 katika kombe la dunia huko Japan.
Ujerumani kwa upande wao wanaingia katika mechi hii ikiwa ndiyo mara ya nne kwao kushiriki katika nusu fainali japo hawafuzu kwa fainali ya kombe la dunia tangu mwaka wa 2002.
Ujerumani Ilifuzu kwa nusu fainali hiyo baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ufaransa katika mechi ya robo fainali.
 
 
 
tarehe machi matokeo ushindi aina ya mashindano
05 May 1963 West Germany v Brazil L 1-2 International
06 Jun 1965 Brazil v West Germany L 2-0 International
16 Jun 1968 Germany v Brazil W 2-1 International
14 Dec 1968 Brazil v West Germany D 2-2 International
16 Jun 1973 West Germany v Brazil L 0-1 International
12 Jun 1977 Brazil v West Germany D 1-1 International
05 Apr 1978 West Germany v Brazil L 0-1 International
07 Jan 1981 West Germany v Brazil L 1-4 Gold Cup
19 May 1981 West Germany v Brazil L 1-2 International
21 Mar 1982 Brazil v West Germany L 1-0 International
12 Mar 1986 West Germany v Brazil W 2-0 International
12 Dec 1987 Brazil v West Germany D 1-1 International
16 Dec 1992 Brazil v Germany L 3-1 International
17 Nov 1993 Germany v Brazil W 2-1 International
25 Mar 1998 Germany v Brazil L 1-2 International
24 Jul 1999 Brazil v Germany L 4-0 FIFA Confederations Cup
30 Jun 2002 Brazil v Germany L 2-0 FIFA World Cup
07 Sep 2004 Germany v Brazil D 1-1 International
25 Jun 2005 Germany v Brazil L 2-3 FIFA Confederations Cup
10 Aug 2011 Germany v Brazil W 3-2 International
08 Jul 2014 Germany v Brazil

FIFA World Cup  


Chapisha Maoni