Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


MCHEZAJI aliyewika kwa muda mrefu na Manchester united Paul Scholes amesema kuwa kocha mpya wa united Louis van Gaal anatakiwa kununua walizi wawili ili kuimalisha kikosi hicho ambacho kilishika nafsi ya 7 msimu uliopita.

 

Scholes amesema kuwa timu hiyo kwa sasa imeondokewa na mabeki mahili watatu ambao ni Nemanja Vidic, Rio Ferdinand pamoja Patrice Evra ambao walikuwa wazoefu na timu hiyo kuliko walizi ambao wapo katika kikosi hicho cha sasa.

 

In action: Chris Smalling, battling Mauro Icardi, is earmarked for a role in United's new line-up
 
 


Chapisha Maoni