Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.



Mshambuliaji huyo wa Ubelgiji mwenye miaka 21 aliyefunga mabao 16 akiwa Everton kwa mkopo msimu uliopita sasa atatumika pale Goodison Park kwa miaka mitano,kwa kitita cha pauni milioni 28. .
Bosi wa Everton Roberto Martinez amsemea: "Usajili huu sio tu muhimu kwa msimu huu, ni siku muhimu katika historia ya klabu."
Lukaku alijiunga Chelse akitokea Anderlecht kwa pauni milioni 18 mwezi August 2011 lakini aliichezea mechi 15 tu.

Baada ya kutia saini Lukaku amsema, "Nina miaka 21, ninahitaji kucheza kwenye Timu bora. Nataka kuwa mahali palipo nigusa kisahihi”

"Niliamua haraka sana nilitaka kurejea. Hapa ndipo ninapotakiwa kuwa” Aliongeza Romelu Menama Lukaku.


Romelu Lukaku
Romelu Lukaku 271797a.jpg
Lukaku with Chelsea in 2012
Personal information
Full name Romelu Menama Lukaku[1]
Date of birth 13 May 1993 (age 21)[1]
Place of birth Antwerp, Belgium
Height 1.90 m (6 ft 3 in)[2]
Playing position Striker
Club information
Current team
Everton
Number 10
Youth career
1999–2003 Rupel Boom
2003–2006 Lierse
2006–2009 Anderlecht
Senior career*
Years Team Apps (Gls)
2009–2011 Anderlecht 73 (33)
2011–2014 Chelsea 10 (0)
2012–2013 West Bromwich Albion (loan) 35 (17)
2013–2014 Everton (loan) 31 (15)
2014– Everton 0 (0)
National team
2008 Belgium U15 4 (1)
2011 Belgium U18 1 (0)
2009 Belgium U21 5 (1)
2010– Belgium 32 (7)


Chapisha Maoni