Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


 
Polisi nchini Brazil wanasema kuwa watu 12 akiwemo mkurugenzi wa kampuni iliyopewa mkataba wa kuuza tiketi hizo, wamesimamishwa kazi  kutokana na kashfa ya kuuza kiharamu tiketi za kuhitimisha mechi za kombe la Dunia.
Ray Whelan, anayefanyia kazi kampuni hiyo inayoshirikiana na shirikisho la kandanda duniani FIFA, ametiwa mbaroni, na wengine katika mji mkuu Rio de Janeiro na uchunguzi bado unafanyika.




Chapisha Maoni