Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.



Uhamisho wa mwanandinga wa kimataifa mwargentina Angel di maria unatarajia kukamilika muda wowote kuanzi hivi sasa toka real madrid na tayari ameshawasili katika viwanja vya mazoezi vya carrington kwaajili ya vipimo vya afya na lakini bado mazungumzo na madrid bado yanaendelea.
Showboat: Di Maria enjoys performing 'rabona' crosses, where he flicks one leg behind the other
Di maria mwenye umri wa miaka 26 atapewa jenzi namba 7,jenzi  ambayo ilivaliwa na wachezaji maili ambao waliitendia haki jenzi hiyo  ndani ya united,uhamisho wake unatarajia kugharimu pauni miliioni 60 na atachukua kitita cha laki mbili kwa wiki.

Family values: Di Maria with his wife Jorgelina Cardoso and their daughter Mia, who was born prematurely
Family values: Di Maria with his wife Jorgelina



Chapisha Maoni