Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.






BONDIA toka mkoani ruvuma Musa Omari maarufu kwa jina la chitepete baada ya kumchakaza bondia toka nchini Malawi Jonson Adamukatika pambano lililopigwa hivi karibuni Mjini songea,sasa ametangaza vita kwa Benison mwakiembe.
MUSA OMARI ANASHIKIRIA MKANDA WA TAIFA


Akizunumza moja kwa moja toka mjini songea Omari alisema  Bin ni bondia mkubwa lakini yeye ni mkali kwa kuwa anajiamini kutokana na uwezo wake wa sasa kuwa mkubwa ambapo yupo tayari kwa ngumi muda wowote ndani nan je ya nchi wakipatikana wadhamini.


“naomba wadhamini wajitokeze kuandaa pambano kati yangu na  Mwakiembi ili nionyeshe uwezo wangu kwamba najua,kikubwa namwomba apunguze uzito na mimi nitaongeza uzito,wakipatikana  wadhamini sita waangusha.



Kwa muda mrefu musa anamtafuta Francis miyeyusho lakini bado ajapata nafsi ya kucheza nae na sasa anamtaka mpizani wake wa ngumi mkoani Ruvuma ili waweze kumaliza ubishi wa nani Zaidi.

Kwa yeyote atakaeitaji mawasiliano na musa Omari 0752732695.




Chapisha Maoni