Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.





 





Na Sophia Mwaipyana,Mbeya
 
Timu  12 za mpira wa miguu za maveterani mkoania Mbeya na Njombe  kushiriki bonanza la maveterani litakalo fanyika wilayani Mbalari katika uwanja wa shule ya msingi rujewa.
 
Bonanza hilo ambalo huwa linafanyika kila mwisho wa mwezi  katika wilaya tofauti ambapo mwezi uliyo pita ilifanyika  Inyala na mwezi huu litafanyia juma pili wilayani Mbalari.
 
 
 
Akiongea na JELAMBA mwenyekiti wa maveterani mkoa wa Mbeya  na kocha wa timu ya maveterani Mbeya mjini Shaban Robart alisema kuwa  timu kumi na mbili zimesha dhibitisha kushiriki katika bonanza hilo.
 
Lengo letu bado nilile la kuwakutanisha wachezaji wa zamani ilikujenga umoja na kulinda afya zetu na bonanza litachezwa kwa mtindo wa ligi.
 
Akizungumzia kuhusu maandalizi ya  timu yake ambayo ndiyo mabigwa watetezi Mbeya Maveterani alisema kuwa kama ilivyo kawaida yetu lazima kurudi na ushindi .
 
Timu hiyo ambayo imetwa ubigwa  mara mbili mfululizo  imekuwa tisho kwa  timu zote za maveterani kutokana na kusheheni wachezaji mahiri wenye uwezo mkubwa wakurisakata kabumbu.
 
Mwisho


Chapisha Maoni