habari za kuaminika hatimaye Emmanuel Okwi amerejea
katika kikosi chake cha zamani cha Simba.
Mganda huyo amechukua uamuzi wa kusaini kuichezea Simba baada ya Yanga kumtema,
kwa mjibu wa mtandao wa saleh jembe
HII NI BLOGU INAYOKULETEA HABARI ZA MICHEZO, BURUDANI NA KIJAMII DUNIANI KOTE. EMAIL.jelamaviwanjani@gmail.com
Chapisha Maoni