Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


Chelsea, Manchester:Gerrard

Nahodha wa timu ya soka ya Liverpool ya England Steven Gerrard amesema amekuwa akijisika wivu kuona timu za Chelsea na Manchester United zikishindana katika mashindano ya kombe la klabu bingwa barani ulaya katika kipindi cha miaka mitano wakati ambao timu yake ilikuwa nje ya mashindano hayo. Vijogoo hao wa Anflid watashuka dimbani siku ya jumanne kucheza na timu ya Ludogorets Razgrad ya nchini Bulgaria. 'Kumekuwepo na Wivu na tamaa kwa kiasi kikubwa kwamba hatushiriki'' alisema Gerrard ambaye alishinda taji la michuano hiyo mwaka 2005
Steven Gerrard MBE
Steven Gerrard, 2014.jpg
Gerrard playing for Liverpool in 2014.
Personal information
Full name Steven George Gerrard[1]
Date of birth 30 May 1980 (age 34)[1]
Place of birth Whiston, Merseyside, England
Height 1.83 m (6 ft 0 in)[2]
Playing position Midfielder
Club information
Current team
Liverpool
Number 8
Youth career
1987–1998 Liverpool
Senior career*
Years Team Apps (Gls)
1998– Liverpool 478 (112)
National team
1999–2000 England U21 4 (1)
2000–2014 England 114 (21)



Chapisha Maoni