Kitabuni,
Rio, mwenye Miaka 35, anamweleza Moyes kama ‘mgeni’, ‘asiejua kazi’ na
Mtu
‘hasi.’
Rio
ameandika: “Mbinu za Moyes zilileta mchanganyiko na Timu kurudi nyuma.”
Rio
Ferdinand amesema uendeshaji wa Timu wa Moyes ulifedhehesha na kuwafanya
Wachezaji wachanganyikiwe wasijue cha kufanya.
Rio
ameandika: “Kitu kikubwa kilichochanganya ni jinsi alivyotaka Mpira upelekwe
mbele. Mara nyingi alitutaka tupige Pasi ndefu.
Baadhi
ya Wachezaji walihisi kwenye Timu hiyo walikuwa wamepiga Mipira mirefu mara
nyingi kupita muda wowote katika maisha yao.”
“Ilifedhehesha.
Katika Mechi moja ya Nyumbani na Fulham tulipiga Krosi 81. Nilijiuliza kwa nini
tunafanya hivi? Andy Carroll hachezi kwetu!”
“Mwelekeo
wote ulikuwa mgeni kwetu. Mara nyingine Moyes alitaka tupige Pasi nyingi.
Alisema: ‘Leo nataka Pasi 600 kwenye Gemu hii. Wiki iliyopita zilikuwa 400 tu.
Nani anajali hilo? Niko tayari kufunga Bao 5 toka Pasi 10!’”
Kingine
alichoponda Rio ni moja ya Mazoezi yao kabla ya Mechi na Bayern Munich wakati
Moyes alipowafanyisha Mazoezi ya jinsi ya kupiga Frikiki na kuzicheza mbele ya
Umma bila kificho kwenye Uwanja wa wazi huku kila Mtu akiona nini kinafanyika.
Rio
ameeleza: “Kilikuwa kitendo cha kukosa umakini wa kazi. Ilikuwa afadhali
tuwatumie Bayern Barua Pepe au DVD ya mbinu zute!”
Kwenye
Mazoezi hayo ya wazi, mbele ya Wachezaji wote, Moyes ndio alimtobolea Ferdinand
huwa hatacheza Mechi na Bayern kwa sababu anataka Mabeki wenye kasi.
Hii imekuja baada ya hapo jana kumchana
John Terry,kutokana suala la kibaguzi ambalo alimfanyia ndugu yake Anton Fednand,na Terry kushingwa kuomba msamaha.
John Terry,kutokana suala la kibaguzi ambalo alimfanyia ndugu yake Anton Fednand,na Terry kushingwa kuomba msamaha.
Ferdinand playing for Manchester United in 2008. |
|||
Personal information | |||
---|---|---|---|
Full name | Rio Gavin Ferdinand[1] | ||
Date of birth | 7 November 1978 | ||
Place of birth | Denmark Hill, London, England | ||
Height | 1.89 m (6 ft 2 in)[2] | ||
Playing position | Centre-back | ||
Club information | |||
Current team
|
Queens Park Rangers | ||
Number | 5 | ||
Youth career | |||
1992–1996 | West Ham United | ||
Senior career* | |||
Years | Team | Apps† | (Gls)† |
1996–2000 | West Ham United | 127 | (2) |
1996–1997 | → Bournemouth (loan) | 10 | (0) |
2000–2002 | Leeds United | 54 | (2) |
2002–2014 | Manchester United | 312 | (7) |
2014– | Queens Park Rangers | 4 | (0) |
National team | |||
1996–1997 | England U18 | 7 | (0) |
1997–2000 | England U21 | 5 | (0) |
1997–2011 | England | 81 | (3) |
Chapisha Maoni