Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.









  Wazee wa jangwani Yanga iwamebeba Ngao ya Jamii kwa kuitungua Azam FC kwa mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar, jioni hii ngao ya jamii.



Mechi hiyo ya Ngao ya Jamii dhidi ya Azam FC Jaja alifunga alifunga mabao yake katika dakika ya 58 kabla ya kupachika la pili katika dakika ya 64.
 
Simon Mvuva akafunga la tatu katika dakika ya 88 baada ya kipa Mwadini Ally kujichanganya.


Chapisha Maoni