Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


 Arda Turan (top, centre) celebrates giving Atletico Madrid the lead after the substitute made it 2-1 to the visitors at the Bernabeu against Real Madrid on Saturday
Ikiwa nyumbani kwenye uwanja wake wa Santiago Bernabeu matajiri wa Real Madrid wamekubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa mahasimu wa wa mji mmoja Atletico Madrid ikiwa ni mara ya kwanza kwa Atletico Madrid mara mbili mfululizo.
 Arda Turan finishes in the bottom-left corner to gift Atletico Madrid the 2-1 win over their fierce rivals Real Madrid at the Bernabeu on Saturday night
Atletico ndio ilikuwa yakwanza kupata bao kupitia kwa Tiago Mendes katika dakika ya 10 tu ya mchezo Real Madrid walisawazisha bao hilo kupitia kwa Cristiano Ronaldo kwa mkwaju wa Penalty katika dakika ya 76 ya mchezo Arda Turani alibuka shujaa wa mchezo huo kwa kuifungia timu yake ya Atletico Madrid goli la kuongoza na kuihakikishia timu ushindi  dhidi ya Real Madrid.
VIKOSI VILIKUWA KAMA IFUATAVYO
 
Arda Turan and his Atletico Madrid team-mates celebrate after the winger made it 2-1 to the visitors at the Bernabeu against Real Madrid on Saturday night in Spain
Real Madrid: Casillas, Arbeloa (Varane 78), Pepe, Ramos, Coentrao, Modric, Kroos, Bale (Isco 72), Rodriguez, Ronaldo, Benzema (Hernandez 63)
Subs (not used): Navas, Marcelo, Nacho, Illarramendi
Booked: Rodriguez, Arbeloa, Hernandez, Modric
Goals: Ronaldo (pen, 26)
Atletico Madrid: Angel Moya, Juanfran, Miranda, Godin, Siqueira, Garcia, Gabi (Turan 60), Tiago, Koke, Jimenez (Griezmann 64), Mandzukic (Suarez 78)
Subs (not used): Oblak, Ansaldi, Cerci, Gimenez
Booked: Godin, Siqueira, Mandzukic, Gabi, Miranda, Suarez
Goals: Mendes (10), Turan (76)
Arda Turan celebrates on the turf after scoring against Real Madrid to put Atletico Madrid 2-1 up with just 14 minutes remaining at the Bernabeu 
Tiago scores the opener for Atletico Madrid at the Bernabeu on Saturday night as they silenced the Real Madrid crowd
Tiago's header gave Atletico Madrid a surprise lead at the Bernabeu on Saturday night as they silenced the Real Madrid crowdCristiano Ronaldo equalises from the spot after the former Manchester United star won and took the resulting penalty against La Liga rivals Atletico Madrid
Cristiano Ronaldo waits for his Real Madrid team-mates to embrace him after his equalising penalty brought the sides level at the BernabeuCristiano Ronaldo doesn't miss many and he didn't in this fierce Madrid derby as Real made it 1-1 in the first half against their rivals Atletico



Chapisha Maoni