Kwa mara ya kwanza Ujerumani imeamua
kuweka sheria kali kwa wafukuza upepo kama kosa la jinai na atakaye patikana na
hatia ya utumizi wa dawa za kuongeza nguvu atakabiliwa na adhabu ya kali ya
lupango miaka mitatu .
Inakadiriwa wanariadha mahiri
wapatao 7,000 ambao hukabiliwa na zoezi la upimaji, sheria hiyo inawaangukia na
wanariadha wa kigeni nao hawatapona, watakabiliwa na kifungo.
Mapendekezo hayo ya sheria
yatakabidhiwa kwa mawaziri wenye dhamana kabla ya kuanza kwa bunge la nchi hiyo
mwakani
bbc
Chapisha Maoni