Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.



WANAFUNZI wanaosomea taaluma ya uandishi wa Habari chuo kikuu cha Iringa zamani kikifahamika kwa jina Tumaini wameonyesha vipaji vyao katika michezo mbali mbali siku ya sherehe ya kuwakaribisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza [first year]sherehe ambayo ilifanyika River Valley nje kidogo ya mji wa Iringa.

Moja ya michezo ambayo wanahabari hao walishiriki ni pamoja na Kuvuta kamba,kukimbia na mayai,rede,kucheza mziki,kuruka kamba,pushapu,pamoja na kandanda.

Tazama matukio katika picha.



Dina ngungi Mshindi wa mchezo wa kukimbia na yai kulia ni Edwin Dugange akiwa ametoa macho mara baada ya kuburuzwa katika mchezo huo.

Zakaria Mtandi Kulia akiburuzwa na Rozi mtoto mzuri katika mchezo wa kuvuta kamba, uliofanyika huko River Valley.


Carson watson akionyeshana umwamba na Rozi mtoto mzuri katika mchezo wa kuvuta kamba.

 Sister tuzo akionyesha uwezo wake katika kuvuta kamba

Mtaalam wa kupasha Janet misomapya.






wanaume wa shoka wakionyeshana mwamba katika pushapu.


mkuu wa kitivo cha uandishi wa Habari chuo kikuu cha Iringa Mr Alois akionyesha ufundi katika kusakata kabumbu.






zakaria mtandi na bethalina usili,kazi ipo mchezo huu ukizubaa unateguka mkono.


Carson Watson bingwa wa kuruka kamba,akifanya vyake yeye ndiye aliibuka kinara.

Sio kuandikaa tu na kutangaza hata kusakata rumba wamo.
wanahabari wakicheza mchezo wa redi












































































































Chapisha Maoni