Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


  WEST BROMWICH, ENGLAND - NOVEMBER 29:  (EDITORS NOTE: This is a retransmission of image #459707078 with an alternative crop)   Danny Welbeck of Arsenal (2R) celebrates with team mates Olivier Giroud, Santi Cazorla, Calum Chambers and Aaron Ramsey of Arsenal as he scores their first goal during the Barclays Premier League match between West Bromwich Albion and Arsenal at The Hawthorns on November 29, 2014 in West Bromwich, England.  (Photo by Laurence Griffiths/Getty Images)
Mchezaji wa zamani wa manchester united Danny Welback ameinusuru Alsenal mara baada ya kuifungia bao pekee na kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya West Brom mchezo wa ligi kuu ya uingereza.
  
lakini katika hatua za kusawazisha bao hilo Saido Berahinoalikosa bao dakika 80 baada ya kugongesha mwamba.
 
Kikosi cha West Brom kilikuwa: Foster, Wisdom, Dawson, Lescott, Pocognoli/Gamboa dk74, Mulumbu/Anichebe dk65, Gardner, Dorrans, Sessegnon/Samaras dk76, Brunt na Berahino.
 
Arsenal: Martinez, Chambers, Mertesacker, Koscielny Monreal/Gibbs dk23, Ramsey, Flamini, Sanchez, Cazorla, Welbeck na Giroud/Oxlade-Chamberlain dk78.


Chapisha Maoni