MANCHESTER UNITED,leo hii wameichabanga Liverpool bao 3=0 katika mchezo mkali uliopigwa katika uwanja wa oldtrafod na kuzidi kuzifukuzia timua ambazo zipo kileleni mwa ligi hiyo,ambapo kwa sasa wamejihakikishia nafsi zuri zaidi ya kufukuzia mbio za ubingwa huku matokeo hayo yakizidi kumchachafya kocha wa liverpool na inawezeka akafutwa kazi hivi karibuni kwa matokeo mabaya.
MANCHESTER UNITED, walioanza: De Gea, Valencia, Jones, Evans, Young, Carrick, Fellaini, Mata, Rooney, Van Persie, Wilson.
wachezaji wa hakiba: Falcao, Januzaj, Lindegaard, Ander Herrera, Fletcher, McNair, Blackett
wafungaji: Rooney 12, Mata 40, Van Persie 71
LIVERPOOL, wachezaji walioanza: Jones, Skrtel, Lovren, Johnson, Moreno, Henderson, Allen, Gerrard, Coutinho, Lallana, Sterling
WACHEZAJI wa hakiba Toure, Lambert, Lucas, Mignolet, Can, Balotelli, Markovic
Chapisha Maoni