Na Mwandishi Wetu
MPAMBANO wa ngumi wa kufungua mwaka
unatarajia kupigwa Ifakala mkoa wa morogoro kwa ajili yas kuhamasisha na
kukuza mchezo wa masumbwi nchini akizungumza na waandishi wa habari
promota wa mpambano huo Hiari Bohari amesema kuwa kwa sasa anataka
aendereza mchezo wa masumbwi Ifakala kwa kuwa watu wapo na mchezo
unapendwa
aliongeza kwa kusema siku hiyo ya
january mbili itakuwa ni siku ya kufungua mwaka kwa mpambano wa masumbwi
kati ya Abdallah Kilima na Abdul Amwenye uku Saleh Makuka akipambanma
na Said Chamak
vile vile kutakuwa na mpambano miwili
kwa ajili ya kuamasisha wanawake waje washiriki katika michezi ya ngumi
siku hiyo Aika Georger atapambana na Najma Ally
aliongeza kwa kusema anawaomba wadau
mbalimbali kutoa sapoti na kumuunga mkono katika harakati za kuinua
mchezo wa masumbwi ili uweze kusonga mbele
Chapisha Maoni