Msimu
wa soka nchini Somali umeanza rasmi katika mji mkuu Mogadishu, huku
mechi ya kwanza ikichezwa katika uwanja ambao ulikuwa eneo la mazoezi la
wapiganaji wa kundi la Alshabaab.
Wanaume,wanawake,wavulana kwa
wasichana walifika katika uwanja huo kuona mechi hiyo kati Elman na
Horseed ambapo Elman iliibuka kidedea kwa mabao 3-2.
Asante kwa kutembelea Hope FM Iringa, Asante kwaku-share habari hii, Kama una Maoni, Ushauri, Story ya ku-share na sisi na au Unahitaji msaada...!
Wasiliana nasi kwa Email hopefmiringa@gmail.com au ungana nasi kupitia mitandao ya kijamii hapo chini!
Wasiliana nasi kwa Email hopefmiringa@gmail.com au ungana nasi kupitia mitandao ya kijamii hapo chini!
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni