Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


 


Mshike mshike wa ligi kuu ya vodacom  Tanzania bara unataraji kuendelea leo kwa mtanange  mmoja katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam ambapo wekundu wa ksimbazi Simba wanawakaribisha Kagera Sugar toka Kagera.
Mchezo wa mwisho wa ligi kwa simba sc waliibuka na ushindi dhidi ya ruvu shooting baada ya kutoa sare michezo 6 kabla ya kuwa vaa ruvu. Wakati Kagera sugar wanaingia katika mchezo huo wakiwa wametoka  sare na vinara wa ligi mtibwa sugar katika uwanja wa manungu Tuliani Moro. 
 

misimu miwili iliyopita simba sc hawajawahi kupata matokeo ya ushindi mbele ya kagera sugar zaidi ya sare, hivyo leo jioni wanakibarua cha kuondoa jinamizi linalo wasumbua mbele ya kagera sugar.



Rnk
TeamMPWDLGFGA+/-Pts

1
Mtibwa Sugar7430103715

2
Young Africans741295413

3
Azam741284413

4
Coastal Union732297211

5
Kagera Sugar724164210

6
JKT Ruvu731377010

7
Simba SC71607619

8
Polisi Morogoro723267-19

9
Mgambo JKT730447-39

10
Stand United723259-49

11
Ruvu Shooting721447-37

12
Tanzania Prisons713367-16

13
Ndanda7205812-46

14
Mbeya City712426-45


Chapisha Maoni