Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.




wekundu wa Simba SC  wamepoteza mchezo wao wa raundi ya nane katika ligi kuu ya vodacom kwa kubamizwa bao 1-0 na kagera sugar, baada ya kucheza mechi 7 bila kupoteza.
Simba sc hii leo wamefungwa katika uwanja wa taifa na kagera sugar mchezo uliochezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam bao la Kagera Sugar likifungwa na Atupele Green akipasia wavu  kipindi cha kwanza.


kwa matokeo hayo simba bado wanamlima wa kupanda ligi kuu.


Chapisha Maoni