KIKOSI cha pili cha Tanzania cha maboresho leo kimefungwa bao 2-1 dhidi ya vijana wenzao toka Burundi
mabao ya burundi yaliwekwa kimiania na Fabrice Mimimahazwe dakika 25,kisha Nassoro niyonkuru akafunga dakika ya 75,lakini bao la Stars lilifungwa dakika ya 11 ya mchezo

Chapisha Maoni