Mshambuliaji wa zamani wa Klabu ya
Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa Thierry Daniel Henry ametangaza
kustaafu kucheza soka rasmi.
Nyota huyu alietwaa kombe la dunia
mwaka 1998 akiwa na timu ya Ufaransa alijiondoa kwenye klabu yake New
York Red Bulls mapema mwezi huu na kukawa na tetesi atachagua kujiunga
na klabu nyingine kubwa barani ulaya." Napaswa kuwashukuru mashabiki wote, nawashukuru wachezaji wenzangu na watu binafsi wanaohusika na AS Monaco, Juventus, Arsenal FC, FC Barcelona,na New York Red Bulls na pia Timu ya taifa ya Ufaransa waliufanya wakati wangu wa mchezo kuwa Maalumu".
Henry alianza kuwika katika soka la kimataifa akianzia klabu ya Monaco kisha akaelekea Juventus ,kabla ya kutua Arsenal alikocheza kwa mafanikio makubwa.
Thierry Henry playing for the MLS All-Stars in 2013. |
|||
Personal information | |||
---|---|---|---|
Full name | Thierry Daniel Henry[1] | ||
Date of birth | 17 August 1977 [2] | ||
Place of birth | Les Ulis, Essonne, France | ||
Height | 1.88 m (6 ft 2 in)[1] | ||
Playing position | Striker | ||
Youth career | |||
1983–1989 | CO Les Ulis | ||
1989–1990 | US Palaiseau | ||
1990–1992 | Viry-Châtillon | ||
1992 | Clairefontaine | ||
1992–1994 | Monaco | ||
Senior career* | |||
Years | Team | Apps† | (Gls)† |
1994–1999 | Monaco | 105 | (20) |
1999 | Juventus | 16 | (3) |
1999–2007 | Arsenal | 254 | (174) |
2007–2010 | Barcelona | 80 | (35) |
2010–2014 | New York Red Bulls | 122 | (51) |
2012 | → Arsenal (loan) | 4 | (1) |
Total | 581 | (284) | |
National team | |||
1997 | France U20 | 5 | (3) |
1997–2010 | France | 123 | (51) |
BY BBC |
Chapisha Maoni