Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.




 RATIBA YA NUSU FAINALI MAPINDUZI CUP,SIMBA VS POLISI,MTIBWA SUGAR VS JKU
FAINALI NI
Fainali
2015 Simba   v   Mtbwa Sugar
uwanja wa hamaan visiwani zanzibar ambayo itapigwa kesho baada ya sherehe za sikukuu ya mapinduzi ya zanzibar leo tarehe 12


MATOKEO YA MECHI ZOTE ZILIZOCHEZWA
 KATIKA KOMBE LA MAPINDUZI
Alhamisi Januari 1
JKU 2 Mafunzo 0
Polisi 1 Shaba 0
Simba 0 Mtibwa 1
Ijumaa Januari 2
KMKM 0 Mtende 0
KCCA 2 Azam FC 2
Yanga 4 Taifa ya Jang’ombe 0
Jumamosi Januari 3
JKU 1 Mtibwa 1
Mafunzo 0 Simba 1
Jumapili Januari 4
Yanga 4 Polisi 0
KCCA 3 Mtende 0
Taifa ya Jang’ombe 1 Shaba 0
KMKM 0 Azam FC 1
Jumatatu Januari 5
Mtibwa 0 Mafunzo 0
Simba 1 JKU 0
Jumanne Januari 6
KCCA 2 KMKM 1
Polisi 0 Taifa ya Jang’ombe 0
Azam FC 1 Mtende 0
Yanga 1 Shaba 0
Jumatano Januari 7
Robo Fainali
Simba 4 Taifa ya Jang’ombe 0
Alhamisi Januari 8
KCCA 0 Polisi 0 [Penati 4-5]
Azam FC 1 Mtibwa Sugar 1 [Penati 6-7]
Yanga 0 JKU 1
Jumamosi Januari 10
Nusu Fainali
Simba 1 Polisi 0
Mtbwa Sugar 0 JKU 0 [Penati 4-3]
Jumanne Januari 13


Chapisha Maoni