Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.



  wazee wa jangwani Yanga wameng'oka katika michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kufungwa bao 1-0 na JKU.

  Shujaa wa mchezo huo alikuwa Amour Mohammed ambaye alifunga bao katika dakika ya 72 na kuwapa Yanga wakati mzuri wa kusawazisha bila ya mafanikio.

Kutokana na ushindi huo, sasa JKU itacheza nusu fainali dhidi ya Mtibwa Sugar ambayo iliing'oa Azam FC leo mchana.


Chapisha Maoni