Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


Mechi zote kuanza Saa 4 Dakika 45 Usiku.
Jumanne 24 Februari 2015         
   

                               nyota wa timu zote mbili nani zaidi

Manchester City  vs  FC Barcelona

uchambuzi
 mechi za hivi karibuni

Man ciy
 ushindi-2
sare-2
kufungwa-1

Barcelona
 
ushindi-4
sare-0
kufungwa-1

Mechi 3  walizokutana Head To Head
 

Man ciy
 ushindi-1
sare-0
kufungwa-2

Barcelona
 
ushindi-2
sare-0
kufungwa-1
 Kuelekea katika mchezo huu Barcelona wanapewana nafsi kubwa ya kushinda kutokana na uwezo mkubwa waliouonyesha katika mechi 10 zilizopita licha ya kufungwa bao 1-0 na Malaga huku Man city akishinda bao 5-0.

Katika misimamo ya ligi za  nyumbani

Mancity ipo nafsi ya pili ikiwa na pointi 55
katika mechi 26 ilizocheza
city imeshinda mechi 16,
kufungwa mechi 3,
sare 7, 
imefungwa bao 25,
kufunga bao 56,

Kwa upande wa Barcelona
 katika ligi ya Hispania inashika nafsi ya pili baada ya kucheza mechi 24 ikiwa na pointi 56,
imeshinda mechi 18,
kufungwa mechi 4,
sare 2
imefunga bao 67,
kufungwa bao 14,

Barcelona ana asilimia 54% ya kushinda katika mchezo huu,City asilimia 29%
lakini kwa kuwa City wapo nyumbani kuna uwezekano mkubwa wa kutoka sare pia City inanafsi ya kupata ushindi pia.

Mechi nyingine itakuwa kati ya 
Juventus FC vs BV Borussia Dortmund  Saa nne dakika 45.
 



Chapisha Maoni