Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.







Dk 90 ZIMEKAMILIKA YANGA 2 BDF O


GOOOOOOOOOO Dk 56, Amissi Tambwe tena anafunga kwa kichwa akiwa hatua tatu kutoka lango la BDF baada ya krosi safi ya Ngassa aliyawachanganya mabeki BDF.



Dk 3, BDF wanapata kona lakini inapigwa na kuwa goal kick
GOOOOOOOO Dk ya 1, Tambwe anafunga bao zuri kwa kichwa baada ya kuruka juu na kuuwahi mpira wa kona katikati ya mabeki wa BDF.

KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO, HIKI HAPA;

Ally Mustapha, Mbuyu Twite, Oscar Joshua, Kelvin Yondani, Nadir Haroub, Salum Telela, Simon Msuva, Haruna Niyonzima, Amissi Tambwe, Mrisho Ngassa na Coutinho.


Chapisha Maoni