Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.





















What the MEDIA says finished


















































































































































































































































NI UONGO
March 17, 2015
Klabu ya Mbeya City Fc, tumesikitishwa na habari iliyotolewa na gazeti la Mwanspoti toleo Namba 1731 la tarehe 17-18 March 2015 yenye kichwa cha habari
Mbeya City yatimua kocha
Hii ni habari ya uwongo na uzushi mkubwa ambayo mwandishi ameandika kwa utashi wake bila hata nukuu yoyote kutoka uongozi wa Mcc fc.
Ndani ya timu jana jumatatu hakukuwa na kikao chochote cha viongozi wala aina yoyote ya mazungumzo kuhusu Kocha Juma Mwambusi.
Tunaomba ieleweke kuwa Juma Mwabusi ni kocha wa Mcc fc na hakuna habari nyingine yoyote nje na hiyo.
Wito wetu kwa wana habari ni vizuri kupata taarifa rasmi kutoka mamlaka husika badala ya ‘kukurupuka’ na kuandika habari za uongo ambazo kwa namna moja ama nyingine huchafua taswira ya tasnia hii muhimu.
Pengine tupeleke ujumbe kwa mwandishi wa habari hii kamwe hawezi kuvuruga umoja uliopo ndani ya Mcc fc kupitia habari zake za uongo, City ni moja na itabaki kuwa hivyo.







































































































Chapisha Maoni