Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.




okwi

Wekundu wa msimbazi  Simba SC wamefanikiwa kuwabamiza wapinzani wao wa jadi Yanga SC katika mchezo wa ligi kuu ya vodacom uliochezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salam kwa bao 1-0.

Katika mchezo huo ulioshuhudia maamuzi ya utata ulianza kwa kasi ya kawaida, huku timu zote mbili zikishambuliana kwa zamu, ambapo mpaka mapumziko hakuna timu iliyokuwa imeona nyavu za wapinzani wao.


 kipindi cha pili Yanga walirejea kwa kasi, na kupelekea Simba SC kutumia mashambulizi ya kushtukiza, ambapo katika dakika ya 52 Emanuel Okwi alitumia vyema shambulizi la kushtukiza na kuipatia goli la kuongoza Simba SC kwa mpira ambao aliupiga kwa akili baada ya kumchungulia mlinda mlango wa yanga 18.



FT
SIMBA SC
1
 : 
0
YANGA
FT
MGAMBO JKT
3
 : 
1
NDANDA FC

MTIBWA SUGAR
0
 : 
0
MBEYA CITY


Chapisha Maoni