Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.



stadium 1
Upo Korea Kaskazini: Unauwezo wa kuchukua mashabiki 150,000
2. Salt Lake stadium
stadium 2
Upo India: una uwezo wa kuchukua mashabiki 131,000
3. Bukit Jalil National Stadium
stadium3
Upo Kuala Lumpur-Malasia: una uwezo wa kuchukua jumla ya mashabiki 100,411
4. Camp Nou
camp
Upo Hispania: una uwezo wa kuchukua mashabiki 99,786
5. FNB Soccer City
fnb
Upo Johhanesburg Afrika Kusini: una uwezo wa kuchukua mashabiki 94,736
6.The Rose Bowl stadium
wis
Upo USA: una uwezo wa kuchukua mashabiki 92,542 kwa wakati mmoja.
7.Cotton Bowl stadium
cotton
Upo Dallas Texas Marekani:  una uwezo wa kuchukua mashabiki 92,100
8. Memorial Stadium
memo
Upo USA: una uwezo wa kuchukua mashabiki 91,471

9. Wembley stadium
moj
Upo London, Uingereza: una uwezo wa kuchukua mashabiki 90,000
10. Eden Gardens
eden
Upo Kolkata India: una uwezo wa kuchukua mashabiki 90,000


Chapisha Maoni