Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.




Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva, akimpiga kanzu mchezaji wa Ruvu Shooting, Abdulahman Musa, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 5-0.

Timu zikiingia uwanjani.

Mshambuliaji wa Yanga, Amis Tambwe akiwatoka wachezaji wa Ruvu Shooting.(Muro)
MCHEZO WA JUMATATU KATI YA POLISI YA MOROGORO NDIO MECHI AMBAYO ITAAMUA UBINGWA WA  YANGA.


Chapisha Maoni