Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


Ndani ya ligi ya Barclays Premier - Chelsea na Manchester United macho yao wote kwa pamoja yanalitazama kombe. Endapo Manchester United watashinda itapunguza tofauti ya pointi mpaka kufikia 5.

Ni siku ya watani wa jadi ndani ya mji wa Milan ambapo Inter Milan watacheza dhidi ya AC Milan uwanjani San Siro, na timu zote hizi zinashika nafasi ya katikati kwenye msimamo wa ligi – kila mmoja wao atacheza kupigania heshima yake!

Kombe la F.A linarudi tena mwisho wa wiki hii ambapo Arsenal watasafiri mpaka Reading, mechi nyingine ni baina ya Liverpool ambao wataivaa Aston Villa kwenye nusu fainali!

Hizi ni mechi za kutazama mwisho wa wiki hii:

Jumamosi 18 Aprili 2015
05:00 Jioni – Crystal Palace vs. West Brom
05:00 Jioni – Everton vs. Burnley
05:00 Jioni – Leicester vs. Swansea
05:00 Jioni – Stoke vs. Southampton
05:00 Jioni – Barcelona vs. Valencia
07:20 Usiku – Reading vs. Arsenal
07:30 Usiku – Chelsea vs. Manchester United
09:00 Usiku – Real Madrid vs. Malaga
09:45 Usiku – Juventus vs. Lazio

Jumapili 19 Aprili 2015
03:30 Mchana – Manchester City vs. West Ham
05:00 Jioni – Aston Villa vs. Liverpool
06:00 Jioni – Newcastle vs. Tottenham
09:45 Usiku – Inter Milan vs. AC Milan


Chapisha Maoni