Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.







 TIMU ya yanga ya Tanzania imetoka sare ya 1-1 na Etoile Du sahel toka Tunisia katika kombe la shirikisho balani Afrika.


  yanga ilikuwa ya kwanza kupata bao Dakika ya dk 2 tu ya mchezoi baada ya nahodha ya timu hiyo  Cannavaro kufunga bao  kwa mkwaju wa penalti.

  Dk 47, Ben Amour Amine akawasazishia waarabu  baada ya kupiga shuti kali la chini lililomshinda kipa Barthez na kutinga wavuni.















Chapisha Maoni