Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.





 SONY DSC
Kampuni ya EAG imeingia mkataba wa miaka mitano na wekundu wa msimbazi simba ambao unahusu kuitafutia dili klabu hiyo za kuingiza fedha.
Baada ya kusaini mkataba huo mkurugezi wa EAG  Imani Kajula amesema anatarajia mkataba huo utaibadilisha simba kimapato na kuachana na kutegemea mapato ya mlangoni  pamoja na ada kutoka kwa wanachama.



Mkataba huo unahusu kuuza jezi na vifaa vingine vyenye nembo ya simba.


Chapisha Maoni