Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.








Taarifa kutoka Bodi ya Ligi Tanzania zimeeleza mechi hiyo iliyokuwa ipigwe leo kwenye Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga imeahirishwa hadi jumatatu kutokana na ajali ya mashabiki wa Simba Ukawa.

Mashabiki watano na watu wengine wawili walipoteza maisha katika ajali ya gari iliyotokea jana katika eneo la Dakawa mkoani Morogoro.

Ajali hiyo ilitokea wakati mashabiki hao wakiwa wanakwenda kuiona mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara.



Chapisha Maoni